Wednesday, March 3, 2010

LEO NI SIKU YA MAZINGIRA AFRIKA


kata mti panda miti. Wanasayansi wanatabiri kwamba ukataji wa miti ( deforestation) utapunguza uzalishaji wa chakula kwa asilimia 50% ifikapo 2020.
unyevenyevu( moisture) unaotoka kwenye miti na kuelekea angani ( atmosphere) utusababishia mvua, ambayo unyeshea mazao yetu ya chakula na biashara.

No comments:

Post a Comment