Saturday, February 27, 2010

SWALI LA KIZUSHI???????

leo nilikuwa natengeneza mkanda wa saa pale mtaa wa Maktaba ( kati kati ya jiji la Dar Es Salaam), baada ya matengenezo nikadaiwa 'Buku Jelo'

Nikatoa macho na kushangaa, wadau nilikuwa nadaiwa bei gani?

3 comments:

  1. elfu miatano. kweli we wakishua,ulikua hujui hiyo? pat

    ReplyDelete
  2. ni elfu moja mia tano ( buku ni 1000, jero ni 500)
    Did you catch me? lol!!!!

    ReplyDelete