Monday, December 28, 2009

DAR ES SALAAM SHWARI KIPINDI HIKI CHA XMAS

natamani dar es salaam iwe hivi hivi kipindi chote cha mwaka. Naishi Tegeta, takribani kilomita 30 kutoka katikati ya mji. Kwa kawaida huwa natumia lisaa limoja na nusu kwenda kazini asubuhi. Katika kipindi hiki cha sikukuhuu ya noeli kuanzia tarehe 26th december nimekuwa nikitumia dakika 40 kufika kazini. Nafanya kazi Bandarini, Dsm.

Kweli, wageni wameondoka kwenda shamba na kutuachia wenye mji.

1 comment:

  1. Poleni sana, tatizo liko palepale, na wageni/wenyeji wanarudi maana ni kama mtu ameenda kutalii na kurudi. Bora wenye nchi wawajengee barabara za ghorofa.

    ReplyDelete