Wednesday, December 30, 2009

MAAZIMIO YA 2010

NAWATAKIA MWAKA MPYA MWEMA TUNAPOFUNGA MWAKA HUU 2009 NA KUINGIA 2010. Naomba tujadili ili na mwisho wake tuwape ushauri vijana wanaoanza maisha. Je, kama maazimio ( resolution) ya mwaka unaokuja, 2010 lipi ni jambo la busara kwa kijana aliyemaliza shule, ( mfano chuo kikuu) na kuyaanza maisha; aanze kwa kununua gari, au anunue kiwanja? naomba tujadiliane.

Samahani, mjadala huu ni wa ushauri kwa vijana waliopo Afrika kusini mwa jangwa la Sahara.

No comments:

Post a Comment