Sunday, December 13, 2009

MATUMIZI MABAYA YA NJIA ZA WAPITA KWA MIGUU

Hapa ni kijitonyama, Dar Es Salaam, barabara ya Ali Hassan Mwinyi, karibu na mgahawa maarufu wa break point.

1 comment:

  1. Mmhhh!!! jamani hapo ni dukani , kwa wamachinga au? Watembea kwa miguu tupite wapi? Usalama uko wapi eeee?!!! Wanaojiita usalama barabarani mko wapi? kama mmesafiri waachieni wanaoweza madaraka. Kero kero kero..........

    ReplyDelete