Saturday, January 9, 2010

MABADILIKO YA HALI YA HEWA


Joto! joto! joto! Tanzania ndani ya nyumba hakukaliki, joto ni kali kweli kweli. Wenzetu walioko Uingereza na Marekani wanasema hata kazini hawaendi kwani theruji imekubali kweli kweli.
Leo Dar Es Salaam temperature ni 32 degrees wakati New York ni -8 degrees.

1 comment:

  1. Kaka,
    Wape hongera na kheri ya mwaka mpya wote hapo kwenye picha (including mpiga picha). Vipi Dar mbu awachapungua? maana naona mambo ya rungu pembeni! anaway usijari maana mchina juzijuizi ametengeneza aina mbu wa plastic ambao watakuwa wanawala hao mbu wabaya (true story)na soon wataanza kuuzwa huko kariakoo, just be carefully not to buy fake ones... you know China!!

    ReplyDelete