Tuesday, October 13, 2009

WAAFRIKA WA 'BLING BLING'



Waafrika tunapenda ufahari na inapofika siku ya mtu kuoa tunaonyesha ushamba wetu kwa asilimia 100% bila kujua tutakula nini kesho! harusi kama hii ni ya kawaida hapa kwetu.

No comments:

Post a Comment