Monday, October 12, 2009

waliowahi kuishi moshi, mnaikumbuka stand ya bus? hapa nilikuwa nikitoka seminari Uru usawa ni kulitafuta bus la Ngorika au fresh ya shamba enroute to Dar. Taswira hii inanikumbusha mbali, enzi hizo.

No comments:

Post a Comment