Tuesday, October 13, 2009

wakata miwa

Bado technologia yetu ni duni! hawa ni wakata miwa, ni zao linalohitajika kiwandani tayari kwa kutengeneza sukari. Kwa mwendo huu tunaweza kushindana na nchi zilizoendelea katika uzalishaji wa sukari?

No comments:

Post a Comment