Monday, October 12, 2009

Ubora uliotukuka! jambo moja lipo wazi, wachaga hawatumii ndizi kama zao la biashara. Wamekariri kahawa tu. Siyo mbali sana, hapa Dar tu, ndizi yenye afya kama hii
haipatikani. Shemeji zangu kaeni moshi mtulimie ndizi badala ya kubangaiza dar.

No comments:

Post a Comment