Tuesday, October 6, 2009

On Enviroment; Kagera iko juu!




On recycling Kagera tuko juu! wala hatuhitaji semina na makongamano. Wahaya utumia majani ya migomba kufungia kahawa.( kahawa ni kama wine ilivyo kwa waingereza). Halafu baada ya kufungua majani hayo urudishwa tena migombani kama mbolea. Tukitoka huko vijijini na kuja mijini tunakuja na akili hiyo hiyo ya shambashamba na kutupa ovyo takataka. Matokeo yake ni aibu tupu! Uchafu wa hiyo picha ya hapo juu ni mitaa yangu ya Tegeta, Dar es Salaam.

3 comments:

  1. hey mdau F, kwa kweli utunzanji wa mazingira ni kitu cha muhimu sana, inabidi 2wafundishe watoto wetu umuhimu wa kuheshemu mazingira siyo 2 ya nyumbani kwao bali ya jamii nzima hapo ndipo 2takapokuwa washindi, maana hizo picha mbili ya huu uchafu hapo nje ya nyumba nzuri tegeta ni aibu tupu, hivyo watanzania inabidi tuanze kujua umuhimu wa kuwa wazarendo na nchi yetu siyo ubinafisi wa kujali mazingira ya nyumba zetu tu, nchi ni mari ya yetu pia kwa kuonyesha msisitizo nitatuma picha ya mazingira ya uingereza nje ya nyumba ninayoishi ili mdau f atuwekee ili wote tujifunze, ukweli ni kwamba mazingira yanachangia sana for our well being, huyu ni mdau Bella teh teh----ni mtu anayependa midahalo!!!!

    ReplyDelete
  2. Bella asante, nasubiri hizo picha!

    ReplyDelete
  3. bella still waiting for pictures.

    ReplyDelete