Monday, September 28, 2009

hospitali nilipozaliwa


Hospitali ya kagondo,mojawapo ya hospitali kubwa mkoani kagera. Bado yavuma ingawa kizazi hiki hakikubali kutoka mjini na kwenda kujifungulia kijijini kama walivyofanya wazazi wangu miaka 39 iliyopita.

1 comment:

  1. OOhh!!! ref: kijijji comment,kumbe ni kijiji sio hosp.

    Sasa wewe unatushauri tukajifungulie kijijini na unasikia wajawazito wanakufa eti hakuna vifaa hosp. na usafiri ni shida? Labda wakati huo kulikuwa na huduma nzuri. Embu nifafanulie mtu wangu.Ni kama mtu kutoka mjini kwenda kutafuta kazi kijijini. Embu nifafanulie mtu wangu.
    g.

    ReplyDelete