Monday, September 28, 2009

ujasiamali


harufu ya ujasiamali haiishii mijini tu, kwani hata kwetu jamaa anatoka kagondo kuchaji betri ya gari. Pale kijijini mshikaji ana saloon hivyo anacharge betri ili awakarabati mabishoo wa kijijini kwenye saloon. Lau kama tungeweka umeme kijiji kinge diversify na kuachana na uchumi tegemezi wa ndizi na kahawa.

No comments:

Post a Comment