Tuesday, September 29, 2009

zahanati

Natamani Hayati bibi yangu Ma Anna Maria Marciale angekuwa hai na kuiona zahanati hii. Miaka hiyo naishi kijijini kabarange, bibi yangu alikuwa ndiyo chief 'surgeon' wa kijiji. Akiwa ni nesi mstaafu kutokea hospitali ya rufaa ya muhimbili, bibi yangu alikuwa ndiyo mtaalam pekee aliyekuwa anasaidia akina mama kujifungua na kutoa huduma nyingine za kitabibu. Miaka 17 baada ya kifo chake, kijiji kina hii zahanati. Lakini bado umeme ni shida, yaani hakuna. Nilipokuwa kijijini nilipewa stori moja na mjomba yangu aliyesema kuwa at one point alileta majeruhi na wakatumia taa za gari yake ili dactari aone vizuri hali ya mgonjwa. Tuna safari ndefu.

3 comments:

  1. MaryClementine RweyemamuOctober 19, 2009 at 5:46 PM

    Waaooo!!! i wish Ma Kokupima (MaAnna Maria) afufuke sasa hivi ajionee zahanati hiyo ambapo pengine yeye ndiye angekuwa incharge.

    Maryclementine

    ReplyDelete
  2. oh yes maria, kilimililre has come a long way. Ma kokupima must be proud of this dispensary as she watches from heaven.

    ReplyDelete
  3. Waitu mwakola muno kut'ayamu ukitabo ekyi, Omukama Mungu abaongeleze.

    ReplyDelete