Monday, September 28, 2009

MAJI BADO NI TAABU

Jamani watoto! inabidi wacheze kidari pooo! na ukuti ukuti wa meme wa meme! na wa mjini sikuhizi wanacheza na computer games. Lakini hapa kangantebe watoto wanachota maji. Maji ni shida lakini kijijini kwetu kuna nafuu ukilinganisha na sehemu nyingine za Mkoani Kagera.

No comments:

Post a Comment