Tuesday, September 29, 2009

VITA VYA KAGERA

Haya ni mabaki ya kanisa katoliki la kyaka, bukoba vijijini. Nduli Iddi Amin alilipiga mabomu kanisa hili katika ile vita ya mwaka 1978. Ni mwaka huo Baba yangu, Hayati Robert Rweyemamu alinifuata nitoke kijijini kabarenge na nirudishwe Dar Es Salaaam. Bado ningepona kwani Nduli hakufika kijijini kwetu.

No comments:

Post a Comment