Tuesday, September 29, 2009

kijijini kilimilire, nyumbani kwa marehemu bibi yangu, hayati Ma Anna Maria Marcialle. Mjomba wangu Victor Akida anafanya kazi ya ziada to keep the place alive. mbuzi meheee! sikuona watu wengi wakiwa na mifugo. Ile cancer ya kupenda ndizi itachukua muda kutoweka. Nina uhakika diversification is the way forward.

1 comment:

  1. mbuzi wanaharibu migomba ndio maana wahaya hatufugi na ikibidi kufuga ni zero grazing...

    ReplyDelete