Tuesday, September 29, 2009

UKRISTU UMETUKUKA KAGERA

si nilikwambia, dini imeshika sana kwetu. Hapa ni nyumba iliyojengwa na Babu ya mama yangu mzaa mama yake, Ta Marciale Mutefunya. Ninaaambiwa nyumba hiyo ilijengwa kwa mawe matupu. Hata miaka hiyo hayati mzee huyo alijua diversification. Alikuwa mwalimu, mkulima, na mshonaji. Si unaona sasa nyumba yake bado inatesa pale kijijini kanyigo!!

No comments:

Post a Comment