Monday, September 28, 2009

matoke weeeeeeeeeee!


Chakula niliagiza pale hotelini kagondo. Kagondo ni kitongoji kilichoendelea zaidi katika kata ya Muhutwe. Pana umeme na nadhani kijiji kangantebe kimelaaniwa kwani siyo mbali kutoka kagondo! kwa nini hatuvuti umeme? Its a million dollar question. Sahani ya ndizi ni 1500/=, tuliambiwa hawakuwa na sahani ya watu wawili lakini nilichoka nilipoletewa hiyo sahani ya mtu mmoja. Ni mlima uliosheheni. Tulikula watu wawili na kusaza.

No comments:

Post a Comment