Tuesday, September 29, 2009

KABARENGE

Nyumbani kwa bibi mzaa mama, kijijini kabarenge, kata kilimilire, jimbo la Nkenge. Jimbo la Mheshimiwa sana Dr. Dedatus Kamala, waziri wa Uhusiano wa Africa Mashariki. Kama nilivyoondoka kijijini hapa miaka 17 iliyopita, bado maji ni shida, ingawa distance ya kufuata maji kwa kiasi nimeambiwa imepungua.

No comments:

Post a Comment