Tuesday, September 29, 2009

ujasiamali

Kijijini kangantebe, kata muhutwe, wilaya Muleba, Mkoani Kagera. Ni jirani yangu pale kijijini. Anashona masweta lakini in a very minor scale.Anatamani aongeze kipato zaidi kwa kutotegemea zao la ndizi lililoletwa na wakoloni. Tukipata umeme kijijini shughuli kama hizi zitaongezeka zaidi na hapo ndipo wanakijiji watakuwa na uwezo wa kuuziana bidhaa wenyewe kwa wenyewe na kuuza hata kwa vijiji jirani. Come on, umefika muda sasa wa kutotegemea soko la kahawa la Ulaya na Marekani.

No comments:

Post a Comment