Tuesday, September 29, 2009


Ni siku ya jumamosi! watoto hawana muda wa kufanya kazi za darasani! ni kazi mtindo mmoja. They are breadwinners.

1 comment:

  1. Hakuna maandalizi kwa watoto hawa hata hao walezi wanaona kawaida kabisa na hata wengine husubiri hii siku kwa hamu. Mtoto anaona kitabu au daftari siku ya shule na akiwa darasani tu. Akifeli tunamlaumu nani? (Mtoto anaona ndio maisha).
    g

    ReplyDelete